SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA FASIHI KWA UJUMLA- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
80 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Aweze kutumia fasihi sahihi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kubaini, kuhakiki na kutunga kazi za fasihi simulizi kwa kiswahili

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze: kufafanua matumizi ya fasihi.

5. MAIN TOPIC
FASIHI KWA UJUMLA

6. SUB-TOPIC
3.1 Dhima ya fasihi

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Kwanza, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Chati ya methali, nahau, hadithi, vikato vya magazeti venye mashauri. Vitabu na matini mbalimbali Za kifasihi na zisizo za kifasihi

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 10 Kwa kutumia mifano ya kazi za kifasihi na zisizo za kifasihi Ongoza majadiliano ya vikundi kuhusu tofauti za kifani za kazi hizo. Wanafunzi wadadisi tofauti hizo na kuziwasilisha darasani Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 40 Ongoza majadiliano na kufikia hitimisho la dhana ya fasihi majadiliano ya matumizi na umuhimu wa kazi mbalimbali za kifasihi katika jamii. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 10 Ongoza kutumia hadithi, nyimbo, methali na nahau wanafunzi wajadili katika jozi matumizi na umuhimu wa kazi za kifasihi katika jamii. Kwa kutumia hadithi, nyimbo, methali na nahau wanafunzi wajadili katika jozi matumizi na umuhimu wa kazi za kifasihi katika jamii. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mweziMazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 10 Ongoza kutumia hadithi, nyimbo, methali na nahau wanafunzi wajadili katika jozi matumizi na umuhimu wa kazi za kifasihi katika jamii. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 10 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA FASIHI KWA UJUMLA- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256